Waziri Mkuu afungua Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kichwa cha alizeti wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. Kulia ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuhusu power tiller za Kampuni ya Uagizaji wa Matreka ya Agricom wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Kahawa iliyotengenezwa na kijana Abdul Issa (kulia) kupitia Mradi wa kuongeza unywaji wa kahawa nchini kwa kutumia migahawa Inayotembea ambayo inasimamiwa na mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Primus Kimario (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua maonesho hayo ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mradi wa kuongeza unywaji wa kahawa nchini kwa kutumia migahawa Inayotembea ambayo inasimamiwa na mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Primus Kimario (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni