Rais Samia ashiriki mkutano wa SADC-Organ Troika

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), Harare nchini Zimbabwe, leo tarehe 16 Agosti, 2024.

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), uliofanyika Harare nchini Zimbabwe, leo tarehe 16 Agosti, 2024. 

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), Harare nchini Zimbabwe, leo tarehe 16 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni