Rais Samia afunga zoezi la Medani la Miaka 60 ya JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao walishiriki kwenye zoezi la Medani wakati wa shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Pongwe Msungura, Msata Mkoani Pwani tarehe 23 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika matukio mbalimbali wakati wa hafla ya kufunga zoezi la Medani ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Msata Mkoani Pwani leo Agosti 23, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni