Matukio ya Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni leo

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge, Bungeni jijini Dodoma Agosti 28, 2024. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Mbunge wa Kwimba, Shanif Mansoor na Mbunge wa Itilima, Njalu Silanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Agosti 28, 2024. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma Agosti 28, 2024. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma Agosti 28, 2024. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni