Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni leo

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati ya kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Agosti 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini Dodoma Agosti 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma Agosti 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni