Katibu Mkuu wa CCM Dk. Nchimbi amtembelea Kinana

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtembelea aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Ndugu Abdulrahman Kinana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo, Agosti 17, 2024  kwa lengo la kubadilishana mawazo.

Chapisha Maoni

0 Maoni