Waziri Mkuu afungua Mkutano wa Kitaifa wa Rasilimali watu katika Sekta ya Afya

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati lipofungua Mkutano wa Kitaifa wa Rasilimaliwatu katika Sekta ya Afya Sambamba na Kumbukumbu ya Hayati Benjamin Mkapa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowsili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kufungua Mkutano wa Kitaifa wa Rasilimaliwatu katika Sekta ya Afya Sambamba na Kumbukumbu ya Hayati Benjamin Mkapa, Julai 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Haspitali ya Taifa  Muhimbili Profesa Mohamed Janabi aliyetoa  maelezo kuhusu VIZA ya Matibabu katika maonesho yaliyoambatana na Ufunguzi wa  Mkutano wa Kitaifa wa Rasilimaliwatu katika Sekta ya Afya Sambamba na Kumbukumbu ya Hayati Benjamin Mkapa. Ufunguzi huo ulifanywa na Waziri Mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kijataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2024. Wa pili kushoto ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui na wa tatu kushoto ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mpango Mkakati wa Nne wa Taasisi ya Benjamin Mkapa  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2024. Wengine kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Mkapa, Helen Mkondaya, Mwenyekiti wa Taasisi ya  Mkapa, Dkt. Adeline Kimambo, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Waziri wa Afya wa Zanzibar,  kulia ni Nassor Ahmed Mazrui. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha nakakala za Mpango Mkakati wa Nne wa Taasisi ya Benjamin Mkapa baada la kuzindua mkakati huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2024. Wengine kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Mkapa, Helen Mkondaya, Mwenyekiti wa Taasisi ya  Mkapa, Dkt. Adeline Kimambo, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Waziri wa Afya wa Zanzibar,  kulia ni Nassor Ahmed Mazrui. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni