Rais Samia azungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Östros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Bw. Thomas Östros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.

Chapisha Maoni

0 Maoni