Waziri Mavunde anogesha Bonanza la Tume ya Madini

 

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba wameongoza watumishi wa Tume ya Madini kwenye Bonanza la Michezo lililofanyika katika Viwanja vya Kilimani jijini Dodoma.

Bonanza hilo lenye lengo la kuimarisha umoja kwa watumishi wa Tume ya Madini limeshirikisha mazoezi ya viungo, mpira wa miguu, kuvuta kamba na kukimbia na magunia ambapo washindi wamekabidhiwa tuzo mbalimbali.




Chapisha Maoni

0 Maoni