Rais Samia azindua Vihenge na Maghala ya kuhifadhi chakula Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 16, 2024 amezindua Vihenge, Maghala ya kuhifadhi Chakula ya NFRA na msimu wa ununuzi wa nafaka eneo la Konondo Halmashauri ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wakati wa Ziara ya Kikazi Mkoani humo.

Maghala na Vihenge vya kuhifadhi Chakula ya NFRA na msimu wa ununuzi wa nafaka eneo la Konondo Halmashauri ya Sumbawanga Mkoani Rukwa yaliyozinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan wakati wa Ziara ya Kikazi Mkoani leo mkoani humo. Ujenzi wa Maghala na Vihenge umegharimu Shilingi Bilioni 14.

Chapisha Maoni

0 Maoni