Rais Samia aweka jiwe la msingi Sekondari ya Wasichana Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi pamoja na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni