Rais Samia ampongeza Waziri Mkuu mpya wa Uingereza

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Sir Keir Starmer na Chama chake cha Labour kwa ushindi walioupata katika uchaguzi.

Katika pongezi hizo alizozitoa kupitia akaunti yake ya X, Rais Dkt. Samia amesema anatarajia kuendelea kwa ushirikiano baina ya Tanzania Uingereza katika kukabiliana na changamoto za dunia na kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa manufaa ya watu wa mataifa hayo amwili.




 Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Sir Keir Rodney Starmer wa Chama cha Labour

Chapisha Maoni

0 Maoni