Wachezaji wa Simba SC wapatiwa mafunzo rasmi

Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula akifungua mafunzo ya awali kuhusu klabu hiyo kwa wachezaji wapya na wazamani wa Simba (orientation training). Mafunzo hayo yamefunguliwa leo 07/07/2024.

Baadhi ya wachezaji wapya na wa zamani wa Simba wakiwa kwenye mafunzo ya awali kuhusu klabu hiyo (orientation training) yaliyofunguliwa leo na Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula.

Baadhi ya wachezaji wapya na wazamani wa Simba wakiwa kwenye mafunzo ya awali kuhusu klabu hiyo (orientation training) yaliyofunguliwa leo na Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula.

Baadhi ya wachezaji wapya na wazamani wa Simba wakiwa kwenye mafunzo ya awali kuhusu klabu hiyo (orientation training) yaliyofunguliwa leo na Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula.

Chapisha Maoni

0 Maoni