Rais Samia afungua barabara ya kwenda Kaengera Seminari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kaengesa mara baada ya kufungua barabara ya lami ya kwenda Kaengesa Seminari Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa Kaengesa mara baada ya kufungua barabara ya lami ya kwenda Kaengesa Seminari Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.

Muonekano wa barabara ya lami ya kwenda Kaengesa Seminari Mkoani Rukwa iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katembelea na kuzungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Kaengesa Mkoani Rukwa wakati akiwa kwenye muendelezo wa Ziara yake Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni