Dkt. Mpago akagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira lililopo Mtumba Mkoani Dodoma tarehe 31 Julai 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Ofisi hiyo lililopo Mtumba Mkoani Dodoma. Tarehe 31 Julai 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni