Bodi ya wadhamini ya TANAPA yaanza kikao chake Dar

Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamekutana leo Julai 22, 2024 jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza kikao cha kawaida cha 207 cha Bodi hiyo kinachoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Jenerali (Mstaafu) George Marwa Waitara.

Chapisha Maoni

0 Maoni