Rais Samia awaapisha viongozi Ikulu ya Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Nkoba Eliezer Mabula kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Selestine Gervas Kakele kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Dkt. Habib Gallus Kambanga kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni