Rais Samia aswali Swala ya Eid Al adha Msikiti wa Mikocheni

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Swala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba  Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Swala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba  Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024

Chapisha Maoni

0 Maoni