Majaliwa ashiriki swala ya Eid Msikiti wa Mfalme Mohamed VI

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiswali swala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Swala hiyo iliongozwa na Sheikh Ally Muhiyidiin Mkologole Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza akizungumza  na waumini wa dini ya kiislam wakati wa baraza la Eid Kitaifa lililofanyika kwenye msikiti wa  Mfalme Mohamed VI BAKWATA baada ya kumaliza swala ya Idd, Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad Omar baada ya swala ya Idd El-Adh'haa na Baraza la Eid iliyofanyika kwenye msikiti wa  Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Kaimu  Mufti wa Tanzania Sheikh  Ally Khamisi  Ngeruko baada ya swala ya Idd El-Adh'haa na Baraza la Eid iliyofanyika kwenye msikiti wa  Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Morocco nchini, Mhe. Zakaria El Guomiri baada ya swala ya Idd El-Adh'haa na Baraza la Eid iliyofanyika kwenye msikiti wa  Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam, Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni