Rais Samia azindua kiwanda cha kuunganisha malori Kigamboni

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.



Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni