Waziri Mkuu akutana na balozi wa Tanzania nchini Comoro

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu (wa pili kushoto) baada ya mazungumzo yao kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Idara ya Afrika, Lilian Abdul Makasa na kushoto ni Afisa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Iddi Ibrahim Iddi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni