Wanafunzi Kibasila wageuza takataka kuwa mbolea

 

Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.Anthon Migeka (katikati) akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es Salaam ambao hutumia takataka kutengeneza mbolea ikiwa moja ya njia ya kutunza mazingira, Mei 9,2024.

Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Anthony Migeka (katikati) akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibasila Jijini Dar es salaam, Mei 9,2024 ambao wameunda klabu ya Mazingira na hukusanya plastiki zaidi ya kilo 700 na baadae kuziuza.

Chapisha Maoni

0 Maoni