Matinyi aelezea maendeleo ya mpango wa uhamaji wa hiari Ngorongoro

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, leo Mei 26, 2024 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya mpango wa uhamaji wa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha kwenda Msomera mkoani Tanga na maeneo mengine ya nchi.

Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi leo Mei 26, 2024 akingumzia maendeleo ya mpango wa uhamaji wa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha kwenda Msomera mkoani Tanga na maeneo mengine ya nchi.

Chapisha Maoni

0 Maoni