PICHA YA SIKU: Wanangu ngoja niwavushe kwenye maji

 

Polisi kata ya Zinga, Wilayani Bagamoyo, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Mwajuma Msofe akiwavusha wanafunzi katika eneo la Zinga Kidugu ili kuwaepusha na madhara yanayoweza kuwapata ikiwa ni muendelezo wa utoaji wa elimu kwa makundi mbalimbali ya jamii kuchukua tahadhari kipindi hiki cha mvua kubwa zinazonyesha maaafa katika sehemu mbalimbali nchini.

Chapisha Maoni

0 Maoni