Waziri Angellah Kairuki awasili nchini Ujerumani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani na kusaini kitabu cha wageni ambapo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika Maonesho ya Utalii ya ITB tarehe 5 hadi 7 Machi jijini Berlin, Ujerumani.

Chapisha Maoni

0 Maoni