Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Watu wenye mahitaji maalumu wenye ulemavu,
Wajane, Mayatima na Wazee.
Pia, makundi
mbalimbali wameshiriki wakiwemo
Masheikh, Boda boda, Wajasiriamali katika Futari maalum aliyowaandalia ukumbi
wa VETA, Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe: 21 Machi 2024.


0 Maoni