Dk. Mwinyi kuhudhuria mashindano ya Quran Dar

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2024.

Rais Dk. Mwinyi atashiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC na Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran yatakayofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa yaliyoandandaliwa na Taasisi ya Al Hikma Foundation.



Chapisha Maoni

0 Maoni