Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali na Mhasibu Mkuu wa Serikali aliowateua hivi karibuni iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mnazi Mmoja, Zanzibar tarehe: 8 Machi 2024.
Walioapishwa kuwa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu
wakiwemo;
1. Ndugu. Ali
Khamis Juma Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo
2. Khadija
Khamis Rajab Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi
3. Dkt. Aboud
Suleiman Jumbe Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na mambo ya Kale
4. Dkt. Mngereza
Mzee Miraji Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi.
5. Ndugu. Fatma
Mabrouk Khamis Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda.
6. Dkt. Habiba
Hassan Omar Katibu Mkuu Wizara ya Afya
7. Ndugu. Khamis
Suleiman Mwalim Katibu Mkuu (Uchumi na Uwekezaji) Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na
Uwekezaji.
8. Captain. Hamad
Bakari Hamad Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi
9. Dkt. Said
Seif Mzee Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda.
10. Ndugu. Rashid
Ali Salim Naibu Katibu Mkuu (Uchumi na Uwekezaji) Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi
na Uwekezaji.
11. Ndugu. Mzee
Ali Haji Naibu Katibu Mkuu (Katiba na Sheria) Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria,
Utumishi na Utawala Bora.
12. Ndugu. Khatib
Mwadini Khatib Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto.
13. Ndugu. Omar
Haji Gora Naibu Katibu Mkuu (Utumishi na Utawala Bora) Ofisi ya Rais, Katiba,
Sheria, Utumishi na Utawala Bora.
14. Ndugu.
Mwanakhamis Adam Ameir Naibu Katibu Mkuu (Taaluma) Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Amali.
15. Ndugu. Mhaza
Gharib Juma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Maendeleo ya Makaazi
16. Ndugu. Khalid
Masoud Waziri Naibu Katibu Mkuu (Utawala) katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali
17. Dkt. Mzee
Suleiman Mndewa Naibu Katibu Mkuu (Mawasiliano) Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano
na Uchukuzi
18. Ndugu. Zahor
Kassim Mohamed El Kharous Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi.
19. Ndugu. Makame
Machano Haji Naibu Katibu Mkuu (Ujenzi na Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi,
Mawasiliano na Uchukuzi
20. Ndugu. Hamad
Saleh Hamad Mhasibu Mkuu wa Serikali
Hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika leo tarehe 08/03/2024 imehudhuriwa
na viongozi mbalimbali wa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama, dini na vyama
vya siasa.
0 Maoni