Majaliwa akutana na timu ya wataalam wanaosimamia urejeshaji wa hali mkoa wa Lindi

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri, Makatibu Wakuu pamoja na timu ya viongozi na wataalam wengine wa Serikali kuhusu hali ya athari za mvua katika mkoa wa Lindi, kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Oysterbay Jijini Dar es Salaam, Februari 07, 2024. Kikao hicho kimehudhuriwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni