Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa
Mahakama Profesa Olisante Ole Gabriel alipotembelea mabanda ya maonesho wakati
wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania. Mkutano
ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe
21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria
kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza maelezo ya utekelezaji wa Ofisi ya kutoka kwa Afisa Sheria kutoka RITA Bw. Joseph Mwakatoba alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania wakifuatilia mawasilisho wakati wa mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Felisha wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika
katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21
Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa
Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua Miongozo Saba ya
Kisheria wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali
wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention
Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu ya mkutano huo ni
“Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa
Jamii,” (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 Maoni