Balozi wa Tanzania awasilisha hati ya utambulisho kwa Rais Macron

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali Mwadini amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa, Mheshimiwa Emmanuel Macron,  katika halfa iliyofanyika katika Ikulu ya Ufaransa ya Élysée jijini Paris. Baada ya tukio hilo, Balozi Mwadini na Mhe. Rais Macron walizungumza machache yanayohusu kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Ufaransa.

Chapisha Maoni

0 Maoni