Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Dua ya khitma ya kumuombea Marehemu Mzee
Masauni Yussuf Masauni, Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Yussuf Masauni ambae alifariki dunia tarehe:
23 Februari 2024 na kuzikwa makaburi ya Mwanakwerekwe tarehe: 24 Februari 2024.
Dua hiyo imefanyika Msikiti wa Fatma Kilimani, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe: 25 Februari 2024.
0 Maoni