Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt. Samia kufungua kongamano la wanawake na vijana katika biashara

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Adni ys Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kimataifa chaJulius Nyerere jijini Der es Salaam, Disemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya washiriki wa Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es Salaam, Desemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama nyuzi za mkonge wakati alipotembelea banda la maonesho la kampuni ya AJA Tanzania Limited inayojishugulisha na Biashara ya nyuzi za mkonge na bidhaa zake kabla ya kufungua   Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es Salaam, Desemba 6, 2023. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Happiness Nyiti na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwnamama Soko, Dorris Malle. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisindikizwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (kulia kwake) pamoja na viongozi wengeine wakati alipotoka kwenye Kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es Salaam kufungua   Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Desemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kufungua kufungua Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa chaJulius Nyerere jijini Der es Salaam, Desemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni