Waziri Mkuu Majaliwa akutana na balozi wa India nchini

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa India nchini, Binaya Srikanta Pradhan kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma kuaga, 15, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa India nchini, Binaya Srikanta Pradhan, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma kuaga, 15, Novemba 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni