Watu wahofiwa kufa baada ya basi kugonga treni Manyoni

 

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya Basi la Kampuni ya Ally's lenye namba za usajili T 178 DVB lililoigonga treni ya mizigo Manyoni Mkoani Singida.

Taarifa zilizotufikia zinasema basi hilo lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza liliigonga treni ya mizigo katika eneo la Manyoni leo Novemba 29, 2023 majira ya Saa 11 alfajiri.



Chapisha Maoni

0 Maoni