Rais Samia azungumza na Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 29, Septemba 2023.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Faustine Mkenda akizungumza wakati wa kikao cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 29, Septemba 2023.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akizungumza wakati wa kikao cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 29, Septemba 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na Makamu Wakuu wa Vyuo vya Umma wakiwa katika kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 29, Septemba 2023.

Mwenyekiti wa Umoja wa Makamu Wakuu wa Vyuo vya Umma nchini Profesa Evaristo Joseph Liwa akizungumza wakati wa kikao cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 29, Septemba 2023.

Makamu Mkuu wa Chuo wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Rugemalira Kamuhabwa akizungumza wakati wa kikao cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Makamu Wakuu wa Vyuo vya Umma tarehe 29 Septemba, 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni