Rais Samia atoa agizo zito usafirishaji wa zao la korosho Mtwara

 


Rais Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Mtwara kuanzia msimu huu wa korosho kuwa mfanyabiashara yeyote anayetaka kusafirisha korosho kwa gari lazima apate kibali kutoka kwa Mkuu wa Mkoa.

Chapisha Maoni

0 Maoni