Madonna aruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupata nafuu

 

Madonna ameruhusiwa kutoka hospitali na sasa yupo nyumbani na anajisikia vyema, baada ya kulazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).

Taarifa za kuugua kwake zilitolewa na meneja wake, ambaye alisema msanii huyo anasumbuliwa na maambukizi makali ya bakteria.

Madonna mwenye umri wa miaka 64, alikuwa anatarajiwa kuzindua ziara yake ya muziki iitwayo 84-date tour, mwezi ujao.

Chapisha Maoni

0 Maoni