Kwa mara ya kwanza, mamba ajipa ujauzito na kuzaa

Tukio la kwanza la mamba aliyejipa ujauzito mwenyewe limebainika kutokea katika moja za zoo (eneo la kufugia wanyama) huko Costa Rica.

Mamba huyo aliza vitoto vijusi ambavyo asilimia 99.9, gini zao zinafanana na yeye.

Kitendo hicho kinajulikana kama 'uzazi wa bikira' kinapatikana kwa baadhi ya ndege, samaki na aina zingine za mijusi ila haikuwahi kutokea kwa mamba.

Chapisha Maoni

0 Maoni