Tazama Mbwembwe za wafanyakazi Mei Mosi mbele ya Rais

Wafanyakazi kutoka Wizara, Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi wakiwa kwenye Maandamano wakati wakiingia kwenye uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya Maadhimisho ya Sherehe ya siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023.







Picha zote na Ikulu mawasiliano

Chapisha Maoni

0 Maoni