Azam watinga fainal ASFC kwa kuicharaza Simba 2-1

 

Azam FC wametinga fainal ya kombe la shirikisho la ASFC baada ya kuwachapa simba Sc goli 2 kwa moja.

TAZAMA MKWAJU WA DUBE

Simba ameshindwa kuoionq Nangwanda katika uwanja wa Nangwanda sijaona baada ya kuchapwa bao 2-1 na Azam Fc katika kombe la Azam ASFCS


Azam ndio walianza kuona mlango wa Simba kunako dk ya 22 kupitia mchezaji wake Lusajo Mwaikenda, Dk ya 28 Sadio Kanoute akasawazishia Simba  mchezo uliowapeleka mapumziko kwa suluhu ya 1-1



Dk ya 75  katika kipindi cha pili  Super Sab Prince Dube akaiandikia Azamu goli la pili na la ushindi 


Azam FC  sasa wanasubiri mshindi kati ya Yanga na Singida Big stars.

Chapisha Maoni

0 Maoni