Rais Samia afuturisha Ikulu, Diamond uso kwa uso na Harmonize


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.

Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamed



PICHA ZOTE KWA HISANI YA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.

Chapisha Maoni

0 Maoni