Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Julai Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi wakati wakupokea heshima ya wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Misri baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 18 Julai Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri,
Mhe. Abdel Fattah El-Sisi akikagua Gwaride rasmi la Mapokezi lililoandaliwa na
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam, tarehe 18 Julai Juni, 2026.



0 Maoni