Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Maoni