Waziri Mkuu
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa
Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi
waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko,
Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa
Ofisi ya Waziri Mkuu.



0 Maoni