Uhamiaji yawaondosha nchini raia wawili wa kigeni

 

Idara ya Uhamiaji Tanzania imewaondosha nchini raia wawili wa kigeni baada ya kuwabaini kuwa wamekiuka masharti ya viza zao za matembezi.

Raia hao ni Dkt. Brinkel Stefanie mwenye hati ya kusafiria ya Ujerumani pamoja na Chaterine Janel Almquist Kinokfu mwenye hati ya kusafiria ya Marekani.



Chapisha Maoni

0 Maoni