Rais Samia aendelea na kampeni Nyawilimilwa Geita

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Nyawilimilwa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.

Sehemu ya Wananchi wa Nyawilimilwa mkoani Geita waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 13 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge Jimbo la Geita Ndugu Joseph Kasheku Musukuma mara baada ya kuhutubia wananchi wa Nyawilimilwa mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni