Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Nyamagana leo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Nyamagana kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Mwanza mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mwanza tarehe 08 Oktoba, 2025.

Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza tarehe 08 Oktoba, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni