Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba dua katika mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.
Sheikh
akiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa
nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja
vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.
Matukio
mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Leaders
Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.

0 Maoni