Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi
la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Lupaso,
Masasi mkoani Mtwara tarehe 24 Septemba, 2025.

Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasha mshumaa kwenye
Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa,
Lupaso, Masasi mkoani Mtwara tarehe 24 Septemba, 2025.
Mgombea
wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua
katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa,

0 Maoni